Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher
Kadio akizungumza na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na wafanyakazi wa
Idara ya Huduma za Uangalizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo
pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa
Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa
JKT- Umwema Morogoro.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya Uangalizi, Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Aloyce Musika, akizungumza na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa
na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi (hawapo pichani) wakati
wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma
za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema
Morogoro.
Baadhi ya Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya
Huduma za Uangalizi wakiwa kwenye Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi
wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano
wa JKT- Umwema Morogoro.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (aliyekaa katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Uangalizi, Aloyce Musika (wapili Kushoto), wakiwa kwenye picha ya Pamoja na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro. Mkutano huo ulihudhuriwa pia na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher
Kadio akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa JKT Umwema, Morogoro
kufungua Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za
Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, unaoanza leo, tarehe 2 Juni,
2021.
No comments:
Post a Comment