Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho
katika Jeneza lenye mwili wa Mwanasiasa Mkongwe Marehemu Mzee Chrisant
Majiyatanga Mzindakaya mara baada ya Misa ya kumuombea Marehemu iliyofanyika
katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay mkoani Dar es Salaam leo
tarehe 09 Juni 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Misa ya kumuombea Marehemu Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay mkoani Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2021.
No comments:
Post a Comment