ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 8, 2021

Rais Samia azungumza na wanawake wa Tanzania


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanawake wa Tanzania katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo tarehe 8 June, 2021.

Wanawake mbalimbali nchini wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo tarehe 8 June, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimtunza Msanii wa Taarabu Sabah Salum Muchacho wakati akitumbuiza katika mkutano wa Wanawake wa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo tarehe 8 June, 2021. PICHA NA IKULU

No comments: