Advertisements

Monday, June 14, 2021

SAFARI YA MWISHO YA ADDSON OMARI BALTIMORE. MARYLAND NCHINI MAREKANI

nMwili wa mpendwa wetu Addson Omari ukiwa kwenye ibada ya misa ya kumbukumbu na kutoa salamu za mwisho siku ya Jumamosi June 12. 2021 iliyofanyika Vaughin Green Funeral Randastown, Maryaland na baadae marehemu kuzikwa katika makaburi ya King Memorial park, Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Ndugu, rafiki na jamaa waliojumuika pamoka na kutoa pole kwa familia.
Mtoto wa mwisho wa marehemu.
Wanafamilia wakifuatilia ibada ya misa ya kumbukumbu ya mpendwa wetu Addson, Omari.
Picha zaote kwa hisani ya Iska Jojo Studio na kwa picha zaidi bofya HAPA

No comments: