Advertisements

Tuesday, July 27, 2021

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA MABALOZI WATEULE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Gen. Richard Mutayoba Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda, katika Hafla iliyofanyika leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Masoud A Balozi, kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Zanzibar, katika Hafla iliyofanyika leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Swahiba Habibu Mndeme, kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Ulaya na Amerika, katika Hafla iliyofanyika leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Maulidah Bwanakheir Hassan, kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu, katika Hafla iliyofanyika leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Mabalozi wateule leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu mara baada ya kuwaapisha Mabalozi hao leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule mara baada ya kuwaapisha Mabalozi hao leo Julai 27,2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu

No comments: