ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 24, 2021

Mwanamziki mkongwe Waziri Ally Njenje afariki dunia

 


Mwanamuziki maarufu wa Bendi ya Kilimanjaro (Njenje), Waziri Ally amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Mwanayamala alikokuwa akipatiwa matibabu.

John Kitime mwimbaji mkongwe amethibitisha taarifa za kifo cha msanii huyo.

No comments: