Advertisements

Thursday, September 23, 2021

RAIS SAMIA AKUTAANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA BARAZA LA ULAYA JIJINI NEW YORK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Baraza la Ulaya Mhe. Charles Michael, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 22,2021. PICHA NA IKULU.

No comments: