Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye mkutano wa pamoja kati ya Wafanya Biashara wa Tanzania na Marekani ambapo amesisitiza kuimarishwa kwa Biashara kati ya Mataifa hayo mawili ili kuwa na faida kwa pande zote mbili. Mkutano huo umefanyika leo Sept 22,2021 Jijini New York Nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment