Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa maelekezo kwa menejimenti ya NSSF wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Nyumba za makazi za NSSF zilizopo Mtoni Kijichi Dar es Salaam
Mwenyekiti wa eneo la nyumba za makazi za NSSF Toangoma Bw. Emmanuel Keffa akieleza changamoto za miundombinu ya barabara wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama katika mradi huo.
Mmoja wa wapangaji wa nyumba za NSSF eneo la Dungu Wilaya ya Kigamboni Dar es Salaam Bi. Flora Mwakipesile akieleza uzuri wa nyumba hizo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama alipofanya ziara kukagua maendeleo ya mradi huo.
Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi Nssf Bw.Gabriel Silayo akimweleza jambo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ziara yake katika Miradi ya nyumba za NSSF eneo la Mtoni Kijichi Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na timu aliyoambatana nayo kukagua mradi wa nyumba za makazi za NSSF eneo la Mtoni Kijichi Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi katika miradi yua nyumba za makazi za NSSF eneo la Mtoni Kijichi, Toangoma na Dunge Jijini Dar es Salaam, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Bw. Masha Mshomba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Bw. Masha Mshomba (wa kwanza kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na timu aliyoongozana nayo na wakazi wa nyumba za NSSF eneo la Toangoma Dar es Salaam.
Meneja Mradi NSSF, Helmes Pantaleo akisoma taarifa ya miradi ya nyumba za makazi za NSSF wakati wa ziara Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akifuatilia taarifa ya miradi ya nyumba za makazi za NSSF Dar es Salaam wakati wa kikao cha majumuisho mara baada ya wakati wa ziara hiyo.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment