Advertisements

Thursday, May 26, 2022

RAIS SAMIA AHUTUBIA VIONGOZI WA AfCFTA JIJINI ACCRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Mkataba wa eneo huru la Biashara Barani Afrika (The African Continental Free Trade Area), katika Ofisi za (AfCFTA) Jiji la Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa amesimama mbele ya mnara wa kumbukumbu kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Ghana Hayati Dkt. Kwame Nkrumah katika eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) Jijini Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Ghana Hayati Dkt. Kwame Nkrumah wakati alipotembelea eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) katika Jiji la Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo wakati alipotembelea katika eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) Jijini Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua kwenye Mnara wa kumbukumbu katika eneo la Makaburi alipozikwa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Ghana Hayati Dkt. Kwame Nkrumah wakati alipotembelea eneo la Makumbusho (Kwame Nkrumah Memorial Park and Mausoleum) katika Jiji la Accra nchini Ghana tarehe 25 Mei, 2022.

No comments: