Advertisements

Wednesday, May 18, 2022

RAIS SAMIA AZINDUA BARABARA YA TABORA-KOGA-MPANDA YA KM 342.9 KIWANGO CHA LAMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Patricia Laverley wakifungua rasmi barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9 km Sikonge Mkoani Tabora tarehe 18 Mei, 2022.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Patricia Laverley wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9 km uliofanyika Sikonge Mkoani Tabora tarehe 18 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi katika Sherehe za ufunguzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9 km zilizofanyika Sikonge Mkoani Tabora tarehe 18 Mei, 2022.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi waliojipanga kando kando ya barabara ya Tabora - Mpanda katika eneo la Sikonge mara baada ya kuifungua barabara hiyo.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Mzee Hassan Mwakasubi pamoja na Viongozi Wengine mara baada ya sherehe za ufunguzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9.km.
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Sikonge mkoani Tabora wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia katika Sherehe za ufunguzi wa barabara ya Tabora-Koga-Mpanda 342.9 km


No comments: