Advertisements

Tuesday, May 30, 2023

WARIRI MAZRUI AKUTANA NA MKUU WA WHO DKT. TEDROS ADHANOM GHEBREYESUS, AIPONGEZA TANZANIA KWA UDHIBITI MAGONJWA YA MLIPUKO


Waziri wa AfyaSerikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Nassor Mazrui akiwa katika picha na Mkurugenzi Mku wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus huko Geneva.

Ujumbe wa Tanzania ukiongizwa na Waziri wa Afya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui umekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mku wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 76 wa Shirika la Afya Duniani (WHA76) Geneva Uswis.

Katika mazungumzo hayo, Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesua ameipongeza Tanzania kwa jududi inazoendelea kufizanya katika kupambana na kudhibiti magonjwa ya mlipuko kuingia na kuenea nchini.
Kikao cha ujumbe wa Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt.Tedros Adhanom Ghebreyesus
Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus, Waziri Mazrui katika picha ya pamoja na ujumbe mzima wa Tanzania na maafisa wa WHO
Mkutano wa WHA76 ukiendelea

No comments: