ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 15, 2023

DKT. CHEMBA AWASILISHA TAARIFA YA HALI YA UCHUMI NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA 2023/2024

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Idara, Vitengo na Taasisi za Wizara ya Fedha na Mipango, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakifuatilia uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.

(Picha na Kitengo cha Mwasiliano Serikalini, WFM, Dodoma)

No comments: