Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza wakati wa kikao cha nje na wakazi wa kata ya Keikei, Kondoa mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi Gavu.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa (katikati), akifafanua mila ya kiheshima ya shanga nyeupe wakati wa kumkaribisha Kiongozi mkubwa mara baada ya kuwasili kwenye kikao cha shina namba 6, tawi la Bwawani, kata ya Itaswi wilayani Kondoa, kulia ni MNEC wa mkoa wa Dodoma Ndugu Donald Mejeti.
No comments:
Post a Comment