ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 14, 2023

RAIS SAMIA ATEMBELEA NA KUKAGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO-BUSISI KM 3) PAMOJA NA BARABARA UNGANISHI, MKOANI MWANZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Kigongo, Wilayani Misungwi kwa ajili ya kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75, Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS ) Eng. Pascal Ambrose wakati akikagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75. Mhe. Rais Samia amekagua Daraja hilo ambalo Ujenzi wake unatarajiwa kukamilika Februari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mmoja wa Wataalamu wa Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) Eng. Abdulkarim Majuto wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wake Mkoani Mwanza Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75. Mhe. Rais Samia amekagua Daraja hilo ambalo Ujenzi wake unatarajiwa kukamilika Februari, 2024.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwasalimia Wananchi wa Sengerema na Buchosa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.
Wananchi wa Sengerema na Buchosa wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigongo Ferry Wilayani Misungwi mara baada ya kukagua Daraja la JP Magufuli Mkoani Mwanza Tarehe 14 Juni, 2023.
Muonekano wa Daraja la Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) linalounganisha Wilaya za Misungwi na Sengerema Mkoani Mwanza ambalo Ujenzi wake umefikia asilimia 75 na unatarajiwa kukamilika mwezi Februari, 2024.

No comments: