Naibu
Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, akifafanua jambo baada ya kuwasilisha
Taarifa kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya
kamati kwa mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa mkutano wa kumi wa Bunge mbele
ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Bungeni, jijini Dodoma, leo Tarehe
17 Januari, 2024.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour, akitoa ufafanuzi wa hoja
zilizowasilishwa na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati
wa uwasilishwaji wa Taarifa kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge
yaliyotokana na taarifa ya kamati kwa mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa
mkutano wa kumi wa Bunge mbele ya Kamati hiyo Bungeni, jijini Dodoma, leo Tarehe
17 Januari, 2024. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya.
Baadhi
ya wataalamu kutoka Wizara ya Ujenzi na Taasisi zake wakisikiliza Taarifa
kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya kamati kwa
mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa mkutano wa kumi wa Bunge mbele ya Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Bungeni, jijini Dodoma, leo Tarehe 17 Januari,
2024.
Mtendaji
Mkuu wa TANROADS Mhandisi Mohamed Besta akijibu hoja za wajumbe baada ya kuwasilishwa
kwa Taarifa kuhusu utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotokana na taarifa ya
kamati kwa mwaka 2022 iliyowasilishwa wakati wa mkutano wa kumi wa Bunge mbele
ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Bungeni, jijini Dodoma, leo Tarehe
17 Januari, 2024.
No comments:
Post a Comment