Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanachama na Wananchi wakati wa Uzinduzi wa Tawi la Chama la Chaani Masingini Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja. Ujenzi wa Ofisi hiyo yenye Ofisi za Jumuiya zote za Chama ndani yake Umegharimu Shilingi Milioni 248.
No comments:
Post a Comment