Tuesday, February 13, 2024

DKT. TULIA AKUTANA NA KATINU MKUU UN

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, katika Ofisi za Makao Makuu ya UN zilizopo New York nchini Marekeani jana Februari 12, 2024. NA OFISI YA BUNGE

No comments: