Sunday, February 11, 2024

MASAUNI,IGP WAMBURA WAKUTANA NA KIKOSI KAZI CHA MIJI SALAMA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha Miji Salama(hawapo pichani), ambacho kinaratibu na kusimamia utekelezaji wa Mradi wa Ufungaji wa kamera(CCTV Camera) maalumu za kuzuia uhalifu ambapo awali zitafungwa katika majiji matano nchini ambapo lengo ni kudhibiti matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo ujambazi, ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani, wizi na matukio mengine ya kiuhalifu.Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,IGP Camilius Wambura.Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya wizara,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mjumbe wa Kikosi Kazi cha Miji Salama kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Idephonce Mukandara akizungumza wakati wa kikao cha kikosi kazi ambacho kinaratibu na kusimamia utekelezaji wa Mradi wa Ufungaji wa kamera(CCTV Camera) maalumu za kuzuia uhalifu ambapo awali zitafungwa katika majiji Matano nchini ambapo lengo ni kudhibiti matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo ujambazi, ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani,wizi na matukio mengine ya kiuhalifu.Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya wizara,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mjumbe wa Kikosi Kazi cha Miji Salama kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Flora Mrope akizungumza wakati wa kikao cha kikosi kazi ambacho kinaratibu na kusimamia utekelezaji wa Mradi wa Ufungaji wa kamera(CCTV Camera) maalumu za kuzuia uhalifu ambapo awali zitafungwa katika majiji Matano nchini ambapo lengo ni kudhibiti matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo ujambazi, ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani,wizi na matukio mengine ya kiuhalifu.Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya wizara,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Wajumbe wa Kikosi Kazi cha Miji Salama wakiwa katika kikao na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,IGP Camilius Wambura,kikosi ambacho kinaratibu na kusimamia utekelezaji wa Mradi wa Ufungaji wa kamera(CCTV Camera) maalumu za kuzuia uhalifu ambapo awali zitafungwa katika majiji Matano nchini ambapo lengo ni kudhibiti matukio mbalimbali ya uhalifu ikiwemo ujambazi, ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani,wizi na matukio mengine ya kiuhalifu.Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya wizara jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments: