Meli ya MV AALIZEE iliyobeba shehena ya sukari maalum kwa ajili ya kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo muhimu nchini tayari imetia nanga bandari ya DSM ili kupakuliwa kwa bidhaa hiyo kupelekwa sokoni
Shehena hiyo iliyoingizwa na Kagera Sugar imewasili bandarini ikiwa ni muda mchache baada ya bandari hiyo kuihudumia meli MV JPO Aquarius iliyoshusha shehena ya Kilomnero Sugar
No comments:
Post a Comment