RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Husssein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini wa Vijiji vya Charawe na Ukongoroni Wilaya ya Kati Unguja alipowasili katika viwanja vya Charawe kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea iliyoandaliwa na Wazee wa Vijiji hivyo iliyofanyika leo 24-5-2024, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kwasalimia Wananchi wa Vijiji vya Charawe na Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na dua maalum ya kumuombea iliyoandaliwa na Wazee wa vijiji hivyo leo 24-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kwasalimia Wananchi wa Vijiji vya Charawe na Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na dua maalum ya kumuombea iliyoandaliwa na Wazee wa vijiji hivyo leo 24-5-2024
WANANCHI wa Vijiji vya Charawe na Ukongoroni na vijiji jirani Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua maalum ya kumuombea iliyofanyika katika uwanja wa mpira Charawe leo 24-5-2024
WANANCHI wa Vijiji vya Charawe na Ukongoroni na vijiji jirani Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua maalum ya kumuombea iliyofanyika katika uwanja wa mpira Charawe leo 24-5-2024.

WANANCHI wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum, iliyofanyika katika viwanja vya mpira Charawe leo 24-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kwasalimia Wananchi wa Vijiji vya Charawe na Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na dua maalum ya kumuombea iliyoandaliwa na Wazee wa vijiji hivyo leo 24-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kwasalimia Wananchi wa Vijiji vya Charawe na Ukongoroni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na dua maalum ya kumuombea iliyoandaliwa na Wazee wa vijiji hivyo leo 24-5-2024
WANANCHI wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum, iliyofanyika katika viwanja vya mpira Charawe leo 24-5-2024
WANANCHI wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa Wadi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum, iliyofanyika katika viwanja vya mpira Charawe leo 24-5-2024.
No comments:
Post a Comment