Thursday, May 23, 2024

RAIS WA IPU NA SPIKA WA BUNGE DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA MISRI


Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili Cairo nchini Misri kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Dkt. Tulia amepokelewa na Mwenyeji wake Spika wa Bunge la Misri Mhe. Dkt. Hanafy Ali El Gebaly

No comments: