Advertisements

Thursday, June 13, 2024

TRENI YA SGR MCHONGOKO 100,000/= DAR-DODOMA


Ukipanda treni ya SGR mchongogo kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma utalazimika kulipa nauli ya shilingi 100,000/=, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogisa amesema

Amesema treni hizo zitakuwa ni express ambazo hazitosimama kila kituo bali kutoka Dar es salaam zitasimamam kituo kimoja tu cha Morogoro kisha Dodoma.

Amesema tayari Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini LATRA imetangaza nauli za daraja za kawaida ambapo treni hizo zitasimama kila kituo na nauli yake ni shilingi 31,000/= hadi Dodoma.

No comments: