ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 8, 2024

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM NGAZI MBALIMBALI WA MKOA WA MJINI KICHAMA WAKATI WA ZIARA YAKE

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi ngazi mbalimbali wa Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa ziara yake katika Mkoa huo, iliyofanyika leo 7-8-2024, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani Wilaya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
NO.9159//MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma taarifa ya Kazi ya CCM Mkoa wa Mjini Kichama , baada ya kukabidhiwa wakati wa ziara yake kuzungumza na Viongozi wa CCM wa ngazi mbalimbali wa Mkoa wa Mjini Kichama, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi CCM Mkoa Amani Wilaya ya Mjini Unguja leo 7-8-2024.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mjini Kichama Ngazi mbalimbali wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Mjini Kichama iliyofanyika leo 7-8-2024, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu 
NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Abdalla Hasnuu Makame na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi mbalimbali wa Mkoa wa Mjini Kichama wakifuatilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi hao wakati wa ziara yake Kichama katika Mkoa huo iliyofanyika leo 7-8-2024.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi mbalimbali katika Mkoa wa Mjini Kichama wakishangilia wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, (hayupo pichani) akizungumza na Viongozi hao katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa Wilaya ya Mjini Unguja leo 7-8-2024, akiwa katika ziara yake Kichama.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akishangilia wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa CCM Ngazi ya Mkoa wa Mjini Kichama akiwa katika ziara yake ya Kichama leo 7-8-2024 mkutano uliyofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Leila Burhani Ngozi na (kushoto kwake) Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib.(Picha na Ikulu MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndg. Leila Burhan Ngozi (kulia kwake) na (kushoto kwake) Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib, wakifutilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali wa CCM Ngazi ya Mkoa wa Mjini Kichama, akiwa katika ziara yake ya Kichama leo 7-8-2024.mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa.(Picha na Ikulu

No comments: