ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, August 8, 2024

MKURUGENZI MKUU WA PSSSF ATEMBELEA BANDA LAKE

Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF Bw. Abdul-razaq Badru akizungumza na maafisa wa Mfuko alipotembelea banda ya PSSSF katika maonesho yanayoendelea ya Nanenane jijini dodoma.
Kamishna wa Kazi – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Bi. Suzan Mkangwa akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Bw. Abdul-razaq Badru alipotembelea banda la PSSSF katika maonesho yanayoendelea ya Nanenane jijini Dodoma.

No comments: