Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Gairo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Gairo Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024. Mhe. Rais Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani Morogoro ambapo atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.
Wananchi wa Gairo wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024
Shamrashamra za Wananchi wa Gairo mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Wilaya hiyo kwa ajili ya kuwahutubia.
Wananchi wa Gairo wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024
No comments:
Post a Comment