ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 10, 2024

RAIS MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KIONGOZI MKUU WA KAMATI YA UONGOZI YA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA YA KUSHUGHULIKIA AMANI


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Kamati ya Uongozi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya Kushughulikia Amani na Mfuko wa Maendeleo Bw. Earle Courtenay Rattray (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Kamati ya Uongozi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya Kushughulikia Amani na Mfuko wa Maendeleo Bw. Earle Courtenay Rattray (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo,Umwagaliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar (Picha na Ikulu)

No comments: