Saturday, September 7, 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA MAKAMPUNI YA CHINA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction Corporation (CRCC) pamoja na Acme Consultant Engineers PTE Limited na CND jijini Beijing, China tarehe 06 Septemba, 2024. Mhe. Rais yupo nchini China kwenye ziara ya kikazi ambapo alishiriki kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC)
























No comments: