Tuesday, September 3, 2024

RAIS SAMIA AWASILI NCHINI CHINA, KUSHIRIKI MKUTANO WA CHINA NA AFRIKA (FOAC)




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) tarehe 03 Septemba, 2024.










No comments: