Saturday, September 28, 2024

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI YAKE BI.FATMA ABDALLAH KIJESHI


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Bi. Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja, kumtembelea na kumjulia hali yake 27-9-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali yake Bi. Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja 27-9-2024, ikiwa ni kawaida yake kuwatembelea Wazee mbalimbali na kuwajulia hali zao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na familia ya Bi.Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) (kushoto kwa Rais)alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu kumjulia hali yake, ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na familia ya Bi.Fatma Abdallah Mussa (Kijeshi) Kepteni Mstaafu wa (JWTZ) (kushoto kwa Rais)alipofika nyumbani kwake Kidongochekundu kumjulia hali yake, ikisomwa na Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo.

No comments: