ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 28, 2024

KONGAMANO KUBWA LA DIASPORA AUSTIN, TEXAS LAFANA SANA

Mgeni rasmi  wa Kongamano, Balozi wa kudumu wa Tanzania umoja wa Mataifa New York, Mhe. Dkt. Suleiman H. Suleiman akitoa hotuba yake kwa wadau waliohudhuria kongamano na kusisitiza umoja kwa wanaDiaspora .
Msanii Emmanuel kutoka Chicago akifungua kongamano kwa kuimba nyimbo na kupiga kitaa kwa ufundi mkubwa siku ya Ijumaa September 27, 2024 Austin, Texas.
Wadau waliohudhuria kongamano wakiwa katika picha ya pamoja
Lunda Asmani akiongoza kongamano kubwa la Diaspora nchini Marekani
Rais wa DICOTA Christina Lasway akiongea na kuwakaribisha wadau waliohudhuria kongamano kubwa la Diaspora nchini Marekani.
Viongozi wa Austin, Texas ikiwemo Jumuiya ya waTanzania Austini na San Antonio Texas wakisubili kutoa salamu za wana Texas.
Juu na chini ni picha za wadau waliohudhyria kongamano kubwa. Picha zote na Vijimambo Blog. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

























































\




































Picha juu na chini ni wahudumu wa Vitambulisho vya Taifa na passport wakitoa huduma hiyo kwa wanadiaspora wenye uhitaji na huduma hiyo.













































































































































































 

No comments: