Saturday, September 28, 2024

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISHIRIKI KATIKA MJADALA KUHUSU MIAKA 15 YA MAFANIKIO KATIKA MASUALA YA MFUMO JUMUISHI WA FEDHA KWA MAENDELEO


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika mjadala kuhusu miaka 15 ya mafanikio katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha kwa Maendeleo kwenye mkutano ulioitishwa na Malkia wa Uholanzi, Mhe. Maxima ambaye ni mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Huduma Jumuishi za Fedha, Jijini New York, Marekani. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mratibu wa Shirika la Msaada la Marekani (USAID) Samantha Power baada ya kushiriki katika mjadala kuhusu masuala ya Demokrasia, kwenye mkutano ulioitishwa na Shirika hilo, Jijini New York, Marekani.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mratibu wa Shirika la Msaada la Marekani (USAID) Samantha Power baada ya kushiriki katika mjadala kuhusu masuala ya Demokrasia, kwenye mkutano ulioitishwa na Shirika hilo, Jijini New York, Marekani. Katikati ni Balozi Dkt. Elsie Kanza, Balozi wa Tanzia nchini Marekani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: