Saturday, September 28, 2024

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI WA KISAUNI KATIKA IBADA YA SALA YA IJUMAA KATIKA MASJID RABIA AYYTUL KISAUNI




WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu iliyotolewa na Wananchi wa Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akikabidhiwa na Mlezi wa Masjid hiyo Sheikh.Ahmed Mansour Nassor.(kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika masjid hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Kijiji cha Kisauni, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Kijiji cha Kisauni, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja  27-9-2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwananchi wa Kijiji cha Kisauni, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Rabia Ayytul Kisauni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja  27-9-2024.

No comments: