Monday, September 9, 2024

WAZIRI MKUU MHE.KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA SHIRIKA LA NYUMBA ALI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Rita Kabati.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala, ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Shirika la Nyumba Ali linalojishughulisha na kulea na kuhudumia watoto wenye ulemavu la Iringa, Bw. Zawadi Msigala, baada ya mazungumzo ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni jijini Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika hilo, Adam Juma, wa pili kulia ni Mkurugenzi Msaidizi, Paulo Mfuko na wa tatu kulia ni Bruna Fernan ambye ni Mwanzilishi wa Shirika hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: