Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za mmoja ya wadau wa Diaspora aliyafika Austin, Texas kushughulikia swala la pasi ya kusafiria siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024. Picha na Vijimambo Blog
Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za mmoja ya wadau wa Diaspora aliyafika Austin, Texas kushughulikia swala la pasi ya kusafiria siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024.
Afisa usajili mwandamiz Issa Salumi akihakiki maelezo ya diaspora mTanzania nchini Marekani yanasomeka kama yalivyojazwa kwenye fomu za mwombaji wa kitambulisho cha NIDA.
picha juu na chini ni Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za mmoja ya wadau wa Diaspora aliyafika Austin, Texas kushughulikia swala la pasi ya kusafiria siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024.
Afisa uhamiaji Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Bi Sophia Gunda akihakiki karatasi za pasi za kusafiria za wadau wa diaspora waTanzania wanaoishi nchini Marekani
Kulia ni Afisa usajili mwandamiz Issa Salumi akihakiki maelezo ya diaspora mTanzania nchini Marekani yanasomeka kama yalivyojazwa kwenye fomu za mwombaji wa kitambulisho cha NIDA.
Afisa uchambuzi mifumo ya kompyuta Theresia Matonya akihakiki fomu za mmoja ya waombaji wa kitambulisho cha Taifa (NIDA)
Wadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDAWadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDA
Wadau wakisubili zamu yao ya kupata huduma vitambulisho vya NIDA
No comments:
Post a Comment