ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 30, 2024

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA YA WAKUU WA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) JIJINI ARUSHA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.












No comments: