ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 6, 2025

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA UNESCO IKULU DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi Audrey Azoulay, wakati Mkurugenzi huyo alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi Audrey Azoulay, wakati Mkurugenzi huyo alipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi Audrey Azoulay, mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.

No comments: