RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, uliyofanyika leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WASANII wa Kikundi cha Kirobo wakionesha igizo maalumu wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025
WAWAKILISHI wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa wanaofanyia kazi zao Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika katika ukumbi wa maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

WASHIRIKI wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025.

WASHIRIKI wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizundua Muongozo wa Uwezeshaji wa Majukwaa ya Wanawake Kiuchumi na Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto 2025/2030, wakati wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika katika ukumbi wa moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizundua Muongozo wa Uwezeshaji wa Majukwaa ya Wanawake Kiuchumi na Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto 2025/2030, wakati wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika katika ukumbi wa moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Muongozo wa Uazishwaji na Uwendeshaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Zanzibar, wakati wa hafla ya mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Muongozo wa Uazishwaji na Uwendeshaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Zanzibar, wakati wa hafla ya mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.



















No comments:
Post a Comment