Katibu Mkuu wa Bawacha Mhe. Pamela Maassay akizungumza na wanawake waliojitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake kimataifa, ambapo Kitaifa Bawacha wameadhimisha mkoani Dar es salaam, katika ukumbi wa Mlimani City.
Katibu Mkuu wa Chama Mhe.John Mnyika akizungumza na wanawake waliojitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake kimataifa, ambapo Kitaifa Bawacha wameadhimisha mkoani Dar es salaam, katika ukumbi wa Mlimani City.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Balozi Willibrod Slaa akizungumza na wanawake waliojitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kimataifa, ambapo Kitaifa Bawacha wameadhimisha mkoani Dar es salaam, katika ukumbi wa Mlimani City.
Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Heche John na Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Said Mzee Said wakiwa katika ukumbi wa Mlimani City kufuatilia maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.
No comments:
Post a Comment