ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 26, 2010

Ajali ya meli Misri yaua watatu


3 die in Cruise liner smash
Maafisa wamesema, meli ya kifahari imegonga gati katika hoteli ya Misri Sharm al-Sheikh, na kusababisha vifo vya mabaharia watatu.
Takriban watu wengine wanne wamefariki dunia wakati meli hiyo ya Costa Europa, iliyobeba abiria 1,473, ilipofika kwenye bandari baada ya hali ya hewa kubadilika.
Mamlaka ya bandari ya bahari ya Sham imesema mabaharia waliokufa ni kutoka India, Honduran na Brazil.
Walioripotiwa kujeruhiwa ni wawanwake watatu raia wa Uingereza na mmoja kutoka Italia.

No comments: