ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 15, 2010

kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani

Una habari hii haijawahi kutokea katika historia ya Marekani,theluji mwaka huu kwa mara ya kwanza imeanguka state zote 49 nchini humu,kwa mujibu wa CNN katika kipindi kimojawapo cha utabiri wa hali ya hewa,wanasema state ambayo snow haijaanguka ni Hawaii peke yake.

No comments: