ANGALIA LIVE NEWS

Friday, February 26, 2010

Mtoto aliyeng'ang'aniwa na madaktari afa


Maafisa nchini Brazil wanachunguza kifo cha mtoto ambaye alikuwa hajazaliwa baada ya madaktari wawili kupigana katika chumba wanapojifungua akina mama.
Vyombo vya habari nchini humo vinasema madaktari hao walikuwa waking'ang'ania kumzalisha mamake mtoto huyo.
Tayari madakatari hao wamesimamishwa kazi. Mama huyo alifanyiwa upasuaji wa dharura dakika tisini baadaye lakini mtoto akawa amefariki.

No comments: