ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 27, 2010

Kisomo cha Baba yake dada Aisha Bwalu,Dc

Sheh Dullah wa pili kushoto naye alikuwepo kwenye kisomo cha Baba yake Aisha Bwalu

Bwalu kati(T-Shati nyekundu) akiwa na ndugu na jamaa waliofika kwenye kisomo

Dj Rich kulia na Francis Makala watatu kushoto kutoka Massachusetts nao walikuwepo
Dada zetu wa Dc nao walikuwepo kwenye kisomo
wakina mama nao walijumuika pamoja

No comments: