ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 12, 2010


Mbeba Mizigo wa katika soko la Ndizi Manzese akiwa amebeba gunia la Viazi kutoka katika gari  jana. Wafanyabiashara wameitikia wito wa kutojaza magunia ya viazi na nafaka lumbesa lakini bado wamedai kusumbuliwa sokoni hapo licha ya ujazo huo kubadilika. (Picha na Mroki Mroki).
Mbeba Mizigo wa katika soko la Ndizi Manzese akiwa amebeba gunia la Viazi kutoka katika gari jana. Wafanyabiashara wameitikia wito wa kutojaza magunia ya viazi na nafaka lumbesa lakini bado wamedai kusumbuliwa sokoni hapo licha ya ujazo huo kubadilika.

No comments: