Tulio wengi tunapiga Boksi
kuna Wabongo wapiga Kideo Pichani ni Omar Kaseko akiwa kazini
Kuana Wabongo mafundi ujenzi pichani ni Stanley Kichai
Kuna Wabongo wenye Kampuni zao binafsi pichani Executive Director wa ZION HOME CARE SERVICE
Kuna Wabongo ni Makandarasi pichani ni Hilary Mshana
Kuna wabongo ni wajenzi pichani ni Abuu akiwa kazini katika moja ya nyumba anazofanyia kazi

Kuna wabongo ni Ma-dj Redio stesheni pichani ni Dj Joe

Kuna wabongo wanakula kazi ya Boksi pichani ni Truck ya FedEx Ground anayoendesha Mbongo

Kuna Wabongo wanao sukuma tairi 18 na inaaminika ni kazi yenye mshahara unaokaribiana na Daktari

Kuna Wabongo ni wauguzi Hosipitali na vituo mabli mbali vya wagonjwa
Kuna Wabongo ni Mafundi Magari

Kuna Wabongo wanaoendesha maisha kwa kuuza magari na wengine ni wamiliki wa hizo Dealer

Kuna wabongo ni Mafundi wa Verizon

Kuna wabongo ni Mafundi wa Comcast

Kuna Wabongo ni watangazaji wa Redio pichani ni Sunday shomari akiwa kazini
VIJIMAMBO INAWASHUKURU WOTE WALIOKUBALI KURUHUSU VITENDEA KAZI KUTUMIKA KAMA VIELELEZO VYA KAZI WAFANYAZO NA SHUKRANI ZA PEKEE WALIOKUBALI PICHA ZAO ZITUMIKE KWENYE MGAWANYIKO WA KAZI ZA WABONGO UGHAIBUNI TUNAFAHAMU KAZI WAFANYAZO WABONGO ZIPO NYINGI LAKINI VIJIMAMBO IMEWEZA KULETA HIZI CHACHE.
7 comments:
KUNA WABONGO WENGINE WANANDOTA ZA UTAJIRI, WALA HAWATAKI KUFANYA KAZI NAONA UMEWASAHAU HAO KAKA
HII IMETULIA SANA BRO KWANI HAO HAO WANAODHARAU MAISHA YA UGHAIBUNI WAKINYIMWA VISA NI VILIO KAMA WAMEFIWA NA NDUGUZAO WAPENDWA KISA VISA. KWANI MAISHA NI MGAWANYIKO NA KILA MTU ANANJIA YAKE AMBAYO INAMPATIA MKATE WAKILA SIKU POPOTE PALE ALIPO KUBEZA NA KUKEBEI KWA KUPEANA MAJINA YASIYO PENDEZA MASIKIONI SI KHAKI. WABONGO TUHELIMIKE NA TUENDELEE KUPENDANA. BIG UP LUKEMUSICFACTORY....PER-MORE-JAH....
Mheshimiwa Luka umeongea la maana sana maisha ni mgawanyiko hata bongo watu wanapiga box sijui kwa nini wanahasira na wapiga box wa marekani tofauti ni kuwa box la marekani linalipa.
Hakuna lolote mimi nipo hapa Maryland, sasa kama wanafanya kazi na wana na documents zao zipo kwenye order, je kwa nini hawaendi home for vacation? wabongo wengi sana wanafanya kazi kwenye nursing home...tuache kudanganyana.
Mdau,
Maryland - University
Ahsante DJ Luke umefafanua vizuri,huyo mdau mmoja anasema kwa nini hawaendi home,inabidi mtu ujue unaenda kufanya nini kwanza,siku hizi unaweza ongea na ndugu zako kuwaona kupitia mitandao,na kama una familia ndio kabisa maisha ya Ughaibuni hamna housegirl.
Mdau toka Holland
Nakubaliana na mdau toka Holland.
Mdau toka Amsterdam
wote mko wakweli na maisha .. kuna kama akina mimi pia.. mara car wash,mara mail sorter, mara sales assistance, construction worker (labourer), post man, kichen porter, waiter, bar man, security, hotel poter, hotel receptionist, facilitator, gym trainer na zingine za hapa na pale kama ambazo haziandikiki kwenye mitandao. keep up guys .. lets raise awareness kiukweli.
Post a Comment