![]() |
| Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, Ephraim Mafuru (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wa HabariLeo na Daily News wakati Vodacom ilipotembelea chumba cha habari cha magazeti hayo kutangaza rasmi punguzo la gharama za upigaji simu. Kushoto ni Mhariri Msaidizi wa Daily News, Gabby Mgaya na kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba. (Picha na Mroki Mroki) |

No comments:
Post a Comment