![]() |
| Mlezi wa Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania (PPAT), Rais Jakaya Kikwete akipiga picha kwa kutumia kamera ya mpigapicha wa Jamboleo Richard Mwaikenda, Ikulu Dar es Salaam jana baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaapisha Makatibu Tawala wa mikoa minne pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Malawi Patrick Tsere. |

No comments:
Post a Comment