ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 11, 2010


Tegete kutest zali Sweden!

Mshambuliaji tegemeo wa Yanga na Taifa Stars, Jerry Tegete anatarajia kutimkia Sweden kwa ajili ya majaribio ya soka ya kulipwa ktk timu ya ligi daraja la kwanza ya Myriae.

Kwa mujibu wa wakala mchezaji huyo,Damas Ndumbaro,Tegete anatarajia kuondoka nchini wakati wowote endapo taratibu za viza zitakamilika

No comments: