Stars United

Maryland United
Ile mechi kali na ya kufungua mwaka kwa Stars United dhidi ya timu inayoundwa na wachezaji kutoka mataifa mbali mbali wakiwemo Wabongo,Maryland United,
mechi itakayochezewa viwanja vya Germantown
Address ni 16031 central park circle.
Boyds,Md,20641
Field #20
Akiongea na VIJIMAMBO meneja wa Stars united,Salum Salum kutoka Boston,amesisitiza kwamba wachezaji watakao kuwepo kwenye mpambano huo ni ni Moly,Rahim,Makala(Boston),Ebra,Tif(New York),Hadji,Juma,Edgar(Atl),Simon,Inno,Shaban,Owen,Feisal,Denis(Nc),Aritaf(Tx),Godfrey(Minnesota),Mngodo(Oh),Dennis,Tenga,Jongo,Mhando,Giles,Majumbo,Dully,Evans na Charles(Dc).wachezaji wa Stars untd watakaochezea Maryland untd ni Libe,Vicent,Kheri,Elvis na David Mbosi .
Baada ya mechi kutakua na kabalee la usiku kwa wachezaji na wageni waalikwa iakayofanyika 3435B connecticut Av,Nw,Wash,Dc
No comments:
Post a Comment