![]() |
| Waziri wa Miundombinu, Dk. Shukuru Kawambwa , akijaribu kuendesha trekta dogo ‘ Power Tiller’ katika eneo la Kitongoji cha Ngundu, Kata ya Chita, Tarafa ya Mngeta, huku akielekezwa na mwenye Trekta hilo, Adamu Haule (kushoto) wakati aliposimama kuwasalimia wananchi wa kitogoji hicho hivi karibuni. (Picha na John Nditi) |

No comments:
Post a Comment